Swali: Ni vipi mtu anakuwa bingwa kama Shaykh Ibn Baaz na wewe?

Jibu: Mimi sina elimu. Ama kuhusu Shaykh Ibn Baaz ana elimu. Allaah amsamehe na amrehemu. Mimi ni masikini kama nyinyi. Hata hivyo ni wajibu tujifunze.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Muhadhara: Waswiyyat-un-Nabiy http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/wasiyah%20nabi-21-11-1436-01.mp3
  • Imechapishwa: 08/07/2018