Swali: Baadhi ya vijana leo ni wakinaifu kuwakufurisha waislamu. Ni ipi sababu ya upindaji huu?

Jibu: Ni mfumo wa Khawaarij. Ambaye yuko na fikira kama hizi ni Khawaarij na sio Ahl-us-Sunnah. Ni wajibu kutahadhari naye.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Muhadhara: Waswiyyat-un-Nabiy http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/wasiyah%20nabi-21-11-1436-01.mp3
  • Imechapishwa: 17/07/2018