Swali: Baadhi ya wanafunzi wanasema kuwa mfumo wa Salaf ni dhaifu na hauendani na wakati wa sasa na kwamba unaendana tu na watu wa jangwani. Unatunasihi nini?

Jibu: Kusema kwamba madhehebu ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), Maswahabah zake na Salaf ni dhaifu na hauendani na wakati wa sasa ni kufuru ya wazi. Ina maana ya kwamba mfumo wa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hauendani na wakati wa sasa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Muhadhara: Waswiyyat-un-Nabiy http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/wasiyah%20nabi-21-11-1436-01.mp3
  • Imechapishwa: 17/07/2018