Ni lini mtu anatakiwa kukaa baada ya kulisindikiza jeneza makaburini?

Swali: Ni lini mtu anatakiwa kukaa baada ya kulisindikiza jeneza makaburini?

Jibu: Pindi litapowekwa ndani ya kaburi au pindi litapowekwa juu ya ardhi wakisubiria kaburi limalize kuchimbwa.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (17/172)
  • Imechapishwa: 26/08/2021