Ni lazima kwa msafiri kuswali kwa kufupisha swalah?

Swali: Msafiri kuswali kwa kufupisha ni ruhusa au lazima?

Jibu: Ruhusa. Inafaa kuswali kwa kukamilisha. Kufanyia kazi ruhusa ni Sunnah:

“Allaah anapenda itendewe kazi ruhusa Yake.”

Kwa ajili hiyo ´Uthmaan aliswali kwa kukamilisha, ´Aaishah aliswali kwa kukamilisha, Maswahabah waliswali kwa kukamilisha na ´Uthmaan katika hijjah yake ya mwisho.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23196/هل-قصر-الصلاة-رخصة-ام-عزيمة
  • Imechapishwa: 24/11/2023