Swali: Je, ni lazima kwa msafiri kudhini na kukimu?
Jibu: Kama uko peke yako, hazikulazimu bali inapendeza uzilete. Lakini kama mko wengi, basi ni lazima kwenu kuadhini na kukimu. Maalik bin al-Huwayrith (Radhiya Allaahu ´anh) amesema:
“Watu wawili waliokuwa wanataka kusafiri walikuja kwa Mtume (Swalla Allahu ´alayhi wa sallam). Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akasema: “Wakati mnaposafiri, basi mtoe adhaana kisha mkimu.”[1]
[1] al-Bukhaariy 630) na Muslim (674).
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa ((12/160))
- Imechapishwa: 01/05/2026
Swali: Je, ni lazima kwa msafiri kudhini na kukimu?
Jibu: Kama uko peke yako, hazikulazimu bali inapendeza uzilete. Lakini kama mko wengi, basi ni lazima kwenu kuadhini na kukimu. Maalik bin al-Huwayrith (Radhiya Allaahu ´anh) amesema:
“Watu wawili waliokuwa wanataka kusafiri walikuja kwa Mtume (Swalla Allahu ´alayhi wa sallam). Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akasema: “Wakati mnaposafiri, basi mtoe adhaana kisha mkimu.”[1]
[1] al-Bukhaariy 630) na Muslim (674).
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa ((12/160))
Imechapishwa: 01/05/2026
https://firqatunnajia.com/ni-lazima-kwa-msafiri-kuadhini-na-kukimu/