Ni lazima kwa mjamzito aliyeacha kufunga kulipa baadaye

Swali: Ni ipi hukumu ya mwanamke mwenye mimba ambaye ameacha kufunga kwa sababu ya mtoto?

Jibu: Ni lazima kwake kulipa.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fadhwaaih wa Naswaaih, uk. 77
  • Imechapishwa: 16/03/2024