Swali: Kutaja majina ya waendaji kinyume ya Kitabu na Sunnah ni katika manhaj ya Salaf ili waislamu watahadhari nao, je kufanya hivi ni katika manhaj ya Salaf?

Jibu: Ikiwa watu wanadanganyika nao na wala hawawajui, na wewe umehakikisha ya kwamba wako na uendaji wa kinyume (Bid´ah). Ni lazima kutaja majina yao ili wasiwaaminie na kuchukua (elimu) kutoka kwao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fat_Majid_21_05_1434.mp3
  • Imechapishwa: 28/01/2024