Ni lazima kuandika wasia?

Swali: Ni lazima kuandika wasia?

Jibu: Hapana, inapendeza. Lakini kama yuko na kitu anachochelea, kama vile madeni ambayo hayana hati, basi ni lazima kuwathibitishia watu ili zisipotee haki zao. Lakini akiwa hana kitu, bali ni swadaqah tu, basi katika hali hiyo inapendez kwake akiwa na kitu anachotaka kuusia pale ambapo atakuwa na uwezo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22306/ما-حكم-كتابة-الوصية
  • Imechapishwa: 02/02/2023