Kumwelekeza Qiblah anayetaka kukata roho

Swali: Kumwelekeza anayetaka kukata roho Qiblah ni jambo lina msingi?

Jibu: Sijui isipokuwa Hadiyth inayosema:

“Ka´bah ni Qiblah chenu mliohai na wafu.”[1]

Katika cheni ya wapokezi wake kuna baadhi ya kasoro.

[1] Abu Daawuud (2874) kwa tamko lisemalo:

”Nyumba Tukufu ni Ka´bah ni Qiblah chenu mliohai na wafu.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22308/هل-يشرع-توجيه-المحتضر-نحو-القبلة
  • Imechapishwa: 02/02/2023