Swali: Je, ni sahihi yale yanayosemwa na watu ya kwamba walii akifa na kutiwa ndani ya kaburi anajiwa na Malaika wanamtoa ndani ya kaburi hilo na kumpandisha mbinguni?
Jibu: Hilo si sahihi. Kinachopandishwa ni roho na inafunguliwa milango ya mbinguni akiwa muumini au anafungiwa nayo akiwa ni kafiri. Kisha baada ya hapo inarudishwa ardhini.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah, fatwa nr. 7781
- Imechapishwa: 23/08/2020
Swali: Je, ni sahihi yale yanayosemwa na watu ya kwamba walii akifa na kutiwa ndani ya kaburi anajiwa na Malaika wanamtoa ndani ya kaburi hilo na kumpandisha mbinguni?
Jibu: Hilo si sahihi. Kinachopandishwa ni roho na inafunguliwa milango ya mbinguni akiwa muumini au anafungiwa nayo akiwa ni kafiri. Kisha baada ya hapo inarudishwa ardhini.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah, fatwa nr. 7781
Imechapishwa: 23/08/2020
https://firqatunnajia.com/ni-kweli-walii-baada-ya-kuzikwa-hupandishwa-mbinguni/