Swali: Ni upi usahihi wa matamshi haya yaliyosemwa juu ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na ndani yake mna kuvuka ipaka:
“Kana kwamba uliumbwa vile ulivotaka”?
Jibu: Huku ni kuvuka mipaka. Huku ni kuvuka mipaka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Nadhani yanapatikana katika “al-Hamziyyah” ambayo ni moja katika Qaswiydah za al-Buuswayriy. Haya yanapatikana katika Qaswiydah ya “al-Hamziyyah” ya al-Buuswayriy au “al-Hamziyyah” ya Ahmad ash-Shawqiy. Huku ni kuvuka mipaka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2105
- Imechapishwa: 30/06/2020
Swali: Ni upi usahihi wa matamshi haya yaliyosemwa juu ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na ndani yake mna kuvuka ipaka:
“Kana kwamba uliumbwa vile ulivotaka”?
Jibu: Huku ni kuvuka mipaka. Huku ni kuvuka mipaka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Nadhani yanapatikana katika “al-Hamziyyah” ambayo ni moja katika Qaswiydah za al-Buuswayriy. Haya yanapatikana katika Qaswiydah ya “al-Hamziyyah” ya al-Buuswayriy au “al-Hamziyyah” ya Ahmad ash-Shawqiy. Huku ni kuvuka mipaka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2105
Imechapishwa: 30/06/2020
https://firqatunnajia.com/ni-kweli-mtume-aliumbwa-vile-anavyotaka-%e2%80%82%e2%80%82%e2%80%82/