Ni kweli Mtume aliumbwa vile anavyotaka?    

Swali: Ni upi usahihi wa matamshi haya yaliyosemwa juu ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na ndani yake mna kuvuka ipaka:

“Kana kwamba uliumbwa vile ulivotaka”?

Jibu: Huku ni kuvuka mipaka. Huku ni kuvuka mipaka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Nadhani yanapatikana katika “al-Hamziyyah” ambayo ni moja katika Qaswiydah za al-Buuswayriy. Haya yanapatikana katika Qaswiydah ya “al-Hamziyyah” ya al-Buuswayriy au “al-Hamziyyah” ya Ahmad ash-Shawqiy. Huku ni kuvuka mipaka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2105
  • Imechapishwa: 30/06/2020