Swali: Nimemsikia mtu akisema ya kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Jifunzeni uchawi na wala msiufanyie kazi.”
Je, Hadiyth hii ni Swahiyh?
Jibu: Haikusihi kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kutokana na tunavyojua. Ni maneno yaliyoundwa.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (1/368)
- Imechapishwa: 24/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)