Swali: Ikitubainikia kuwa kuna mtu amemfanyia uchawi mtu mwengine ni vipi tutabatilisha kitendo chake katika Shari´ah?

Jibu: Kutumia uchawi ni haramu bali ni kufuru kubwa. Haijuzu kutumia uchawi ili kuzingua uchawi mwingine. Lakini aliyefanyiwa uchawi anatibiwa kwa Ruqyah na du´aa za Kishari´ah zilizothibiti katika Qur-aan na katika Sunnah.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (1/377)
  • Imechapishwa: 24/08/2020