Swali: Vipi mwenye kusema ya kwamba haifai kuuliza swali lifuatalo “Allaah Yuko wapi?”
Jibu: Mtume aliulizi hivi. Alimuuliza mjakazi “Allaah Yuko wapi” akajibu “Mbinguni”. Hili ndio jibu. Baada ya hapo akamwambia bwana wake amwache huru kwa kuwa ni muumini.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh al-´Aqiydah al-Waasitwiyyah (02)
- Imechapishwa: 09/08/2020
Swali: Vipi mwenye kusema ya kwamba haifai kuuliza swali lifuatalo “Allaah Yuko wapi?”
Jibu: Mtume aliulizi hivi. Alimuuliza mjakazi “Allaah Yuko wapi” akajibu “Mbinguni”. Hili ndio jibu. Baada ya hapo akamwambia bwana wake amwache huru kwa kuwa ni muumini.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh al-´Aqiydah al-Waasitwiyyah (02)
Imechapishwa: 09/08/2020
https://firqatunnajia.com/ni-kweli-haifai-kuuliza-allaah-yuko-wapi/