Ni kipi kibaya zaidi; laana ya Allaah au ghadhabu Zake?

Swali: Ni kipi kibaya zaidi; laana ya Allaah au ghadhabu Zake?

Jibu: Vyote ni vyenye kukabiliana. Maana yake ni kutengwa mbali na sehemu za rehema ya Allaah. Tunamuomba Allaah usalama:

إِنَّ اللَّـهَ لَعَنَ الْكَافِرِينَ وَأَعَدَّ لَهُمْ سَعِيرًا

“Hakika Allaah amewalaani makafiri na amewaandalia Moto uliowashwa vikali mno.”[1]

غَيْرِ الْمَغْضُوبِ عَلَيْهِمْ وَلَا الضَّالِّينَ

“… si ya walioghadhibikiwa wala waliopotea.”[2]

Wamelaaniwa na kukasirikiwa. Tunamuomba Allaah usalama.

[1] 33:64

[2] 01:07

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23422/ايهما-اشد-لعنة-الله-او-غضب-الله
  • Imechapishwa: 15/01/2024