Swali: Ni kina nani ´Alawiyyuun? Je, ni katika pote la Baatwiniyyah?
Jibu: ´Alawiyyuun ni kundi katika Shiy´ah. Husemwa hivi pia kuambiwa wale ambao wanaonelea ´Aliy kuwa ni mungu. Wanasema kuwa ´Aliy ndio Allaah au mungu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (22) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-3-7.mp3
- Imechapishwa: 19/08/2020
Swali: Ni kina nani ´Alawiyyuun? Je, ni katika pote la Baatwiniyyah?
Jibu: ´Alawiyyuun ni kundi katika Shiy´ah. Husemwa hivi pia kuambiwa wale ambao wanaonelea ´Aliy kuwa ni mungu. Wanasema kuwa ´Aliy ndio Allaah au mungu.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (22) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-3-7.mp3
Imechapishwa: 19/08/2020
https://firqatunnajia.com/ni-kina-nani-alawiyyuun/