Swali: Ni ipi hukumu ya pete ya ndoa?
Jibu: Hii ni ada mbaya. Sio katika ada ya waislamu. Ni ada yenye kutoka nje ya nchi hii. Na huenda kuna itikadi fulani ya kwamba inawafanya wanandoa kuwa na umoja na kuimarisha mapenzi yao. Ni itikadi mbovu ambayo inatakiwa kuachwa. Ni jambo lisilokuwa na asli si katika dini wala desturi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (27) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsir-ayat-10-08-1435-01.mp3
- Imechapishwa: 21/06/2020
Swali: Ni ipi hukumu ya pete ya ndoa?
Jibu: Hii ni ada mbaya. Sio katika ada ya waislamu. Ni ada yenye kutoka nje ya nchi hii. Na huenda kuna itikadi fulani ya kwamba inawafanya wanandoa kuwa na umoja na kuimarisha mapenzi yao. Ni itikadi mbovu ambayo inatakiwa kuachwa. Ni jambo lisilokuwa na asli si katika dini wala desturi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (27) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsir-ayat-10-08-1435-01.mp3
Imechapishwa: 21/06/2020
https://firqatunnajia.com/ni-ipi-hukumu-ya-pete-ya-ndoa/