Swali: Ni jambo limekuwa la mtindo kwa baadhi ya watu kupigwa picha pamoja na paka…

Jibu: Vipi mtu atapigwa picha na paka? Picha ni haramu. Sifahamu ni nini malengo na paka.

Swali: Ni mtindo wa kupigwa picha na paka.

Jibu: Nifafanuliwa ni nini mtindo. Picha hazijuzu isipokuwa kwa dharurah peke yake. Picha hazijuzu isipokuwa kwa dharurah peke yake. Haijalishi kitu sawa ikiwa ni pamoja na paka, mbwa wala kitu kingine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (27) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsir-ayat-10-08-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 21/06/2020