Ni ipi hukumu ya kupeana mikono na waliokaa pembezoni baada ya swalah?

Swali: Ni ipi hukumu ya kupeana mikono na wale wenye kukaa pembezoni baada ya swalah?

Jibu: Ikiwa ni katika ada ya watu kufanya hivo na wakati huo huo wanachukulia vibaya au kukutuhumu kuwa na kiburi ikiwa hukufanya hivo, ni sawa [kupeana].

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (11) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-07-24_0.mp3
  • Imechapishwa: 07/06/2020