Ni ipi hukumu ya kumchelewesha maiti mpaka ndugu zake wafike? II

Swali: Ni ipi hukumu ya kuchelewesha kumzika maiti kwa ajili ya kuhudhuria ndugu kutoka miji mbalimbali?

Jibu: Hakuna neno ikiwa sio wakati mrefu. Ama ikiwa jambo hilo linapelekea katika kuchelewesha sana, haitakikani maiti ya muumini kubakizwa juu ya migongo ya famili yake.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (14) https://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=audioinfo&audioid=191634
  • Imechapishwa: 27/03/2020