Swali: Ni ipi hukumu ya kutoa pole makaburini?

Jibu: Kutoa pole ni jambo limewekwa katika Shari´ah, lakini isiwe kwa kujikalifisha.  Baadhi ya watu wanatoa pole makaburini kwa ajili ya kuepuka kufanya hilo kwa baadaye. Wanatumia fursa papo hapo. Ni sawa, lakini isiwe kwa nidhamu iliopangwa na watu wenye kusimama katika safu. Jengine ni kwamba wasifanye hivo karibu na makaburi ili wasije wakayakanyaga… [sauti haiko wazi]

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (22) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsirayat-05-07-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 19/06/2020