Ni haramu kwa mke kutoka bila ya idhini ya mumewe

Swali: Mimi ninamuamrisha mke wangu kutotoka nyumbani lakini hanitii, bali anatoka nyumbani bila ya idhini yangu. Je, katika Shari´ah kuna mwenendo maalum na mke kama huu?

Jibu: Ndio. Amlazimishe kutotoka. Amlazimishe kwa kuwa ni mke wake. Haijuzu kwake kutoka bila ya idhini yake. Ni haramu kwake. Hii ni aina ya uasi (Nushuuz). Amtie adabu mpaka ashike adabu.

Check Also

Peleka mahakamani

Swali: Mimi nina dada anayegombana na mume wake mwenye madhehebu na mfumo wa Suufiyyah. Anampiga, …