Swali: Vipi picha ya kwenye mavazi?

Jibu: Haijuzu ikiwa ni nguo inayovaliwa, kwa sababu ina hukumu kama nguo yenye kutundikwa kwa vile mtu husimama nayo na akatembea nayo. Kwa hiyo haina hukumu ya picha zinazotwezwa wala picha zilizoko kwenye mazulia. Kwa hivyo haijuzu kuvaa nguo zenye picha.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24128/حكم-الصور-في-الثياب
  • Imechapishwa: 06/09/2024