Swali: Sisi huku Urusi ng´ombe wanapelekwa malishoni karibu nusu mwaka na nusu nyingine ya mwaka iliobaki tunawalisha. Je, wanatolewa zakaah?

Jibu: Hapana. Kama hawapelekwi malishoni mwaka mzima au zaidi ya mwaka, basi hawatolewi zakaah. Nusu ya mwaka au chini ya hapo hawatolewi zakaah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (16)
  • Imechapishwa: 24/04/2021