Nenda kwenye zizi na umchague mnyama unayemtaka

Swali: Nina wanyamahoa wengi ambapo humwambia mteja aende kwenye kizizi na amchague amtakaye kwa kiwango maalum. Je, inafaa kufanya hivo?

Jibu: Hapana, ni lazima ulengeshe bei. Muulize anayemtaka na umwambie bei yake. Kumwagiza pasi na kulengesha bei haijuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (27)
  • Imechapishwa: 14/04/2021