Anamshuku mteja kuwa atatumia bidhaa katika haramu

Swali: Nikimshuku mtu kuwa anataka kununua bidhaa kutoka kwangu ili aitumie katika jambo la haramu. Lakini nisiwe na uhakika juu ya jambo hilo, lakini huo ndio udhahiri wake.

Jibu: Usimuuzie. Usimuuzie angalau kwa uchache kuepuka mambo ya shubuha.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (27)
  • Imechapishwa: 14/04/2021