Miongoni mwa hekima za swawm ni yale ambayo inapelekea katika faida za kiafya zinazopatikana kwa kufanya uchache wa chakula na kupumzisha kifaa kinachosaga chakula kwa muda maalum na kujiepusha na baadhi ya rutuba na vitu mbalimbali vyenye kuudhuru mwili na vyenginevyo. Ni ukubwa ulioje wa hekima ya Allaah! Ni manufaa makubwa yaliyoje ya Shari´ah Yake na kusilihi kwake zaidi juu ya viumbe!

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majaalis Shahr Ramadhwaan, uk. 66
  • Imechapishwa: 14/04/2021