Kubadilishana bidhaa kwa kuongeza pesa kidogo

Swali: Kubadilisha gari yangu kwa gari nyingine na nikalipa kwa kuongeza pesa kidogo…

Jibu: Hakuna neno. Kuuziana gari kwa gari zinazolingana au ukaongeza pesa kidogo juu ya gari nyingine hakuna neno. Huku sio kufanya biashara mbili katika biashara moja. Hii ni biashara moja.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (27)
  • Imechapishwa: 14/04/2021