Ndugu kuoga pamoja kwenye bwawa la kuogelea

Swali: Je, niwaache mabanati zangu kuoga kwenye bwawa la kuogelea (swimming pool) la bustani na kaka zao ambao wanakaribia kubaleghe?

Jibu: Hapana. Haijuzu. Kamwe. Ni khatari zaidi kuliko kulala karibu. Hili ni khatari zaidi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ls–14330811.mp3
  • Imechapishwa: 06/10/2020