Kumtela mtoto chini ya miaka 7 msikitini

Swali: Je, mtoto chini ya miaka saba aletwe msikitini?

Jibu: Ikiwa kama anakhofia juu yake. Amlete na amuhifadhi, hakuna neno. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa anaswali na huku amembeba mtoto wa binti yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ls–14330811.mp3
  • Imechapishwa: 06/10/2020