Swali: Je, niwaache mabanati zangu kuoga kwenye bwawa la kuogelea (swimming pool) la bustani na kaka zao ambao wanakaribia kubaleghe?
Jibu: Hapana. Haijuzu. Kamwe. Ni khatari zaidi kuliko kulala karibu. Hili ni khatari zaidi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ls–14330811.mp3
- Imechapishwa: 06/10/2020
Swali: Je, niwaache mabanati zangu kuoga kwenye bwawa la kuogelea (swimming pool) la bustani na kaka zao ambao wanakaribia kubaleghe?
Jibu: Hapana. Haijuzu. Kamwe. Ni khatari zaidi kuliko kulala karibu. Hili ni khatari zaidi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ls–14330811.mp3
Imechapishwa: 06/10/2020
https://firqatunnajia.com/ndugu-kuoga-pamoja-kwenye-bwawa-la-kuogelea/