Swali: Nilifunga swawm ya alkhamisi na wakati nilipolala nikaota. Ni ipi hukumu ya swawm hii?

Jibu: Ndoto haidhuru swawm yako kwa kuwa ni kitu kinachotendeka bila kupenda kwako. Unachotakiwa kufanya ni kuoga josho la janaba tu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Buluugh al-Maraam (09) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14705
  • Imechapishwa: 19/04/2015