Kumlipia mtu deni kwa faida

Swali: Kuna mtu ana deni kwenye benki moja. Kuna mtu mwingine anataka kumlipia deni hili kwa sharti ampe faida. Kuna njia wanayofanya mfano wa hii na siijui vizuri. Ni ipi hukumu?

Jibu: Haijuzu kumlipia deni kwa faida. Hii ni Ribaa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Buluugh al-Maraam (09) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14705
  • Imechapishwa: 19/04/2015