Kuswali kwenye msikiti uliojengwa na kafiri

Swali: Je, inajuzu kuswali kwenye msikiti uliojengwa na kafiri kwa malengo ya kuwatendea wema waislamu?

Jibu: Ikiwa ni katika mali ya halali ni sawa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Buluugh al-Maraam (09) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14705
  • Imechapishwa: 19/04/2015