Swali: Mwanume anayemuoa mwanamke katika watu wa Kitabu ndoa itakuwa kwa mujibu wa Uislamu au kwa mujibu wa dini yake?
Jibu: Kwa mujibu wa dini ya Uislamu; kutoa, kukubali na mahari.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (37)
- Imechapishwa: 20/07/2023