Ndoa kwa mujibu wa Uislamu au dini yake?

Swali: Mwanume anayemuoa mwanamke katika watu wa Kitabu ndoa itakuwa kwa mujibu wa Uislamu au kwa mujibu wa dini yake?

Jibu: Kwa mujibu wa dini ya Uislamu; kutoa, kukubali na mahari.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (37)
  • Imechapishwa: 20/07/2023