Swali: Baadhi ya watu Hijaaz wanakusudia kuwafungisha ndoa watoto wao katika msikiti wa Haram.
Jibu: Sijui kama lina msingi.
Swali: Je, mtu anaweza kusema kwamba ni Bid´ah kukusudia jambo hilo?
Jibu: Ni jambo linahitaji kuangaliwa vyema.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23658/حكم-من-تعمد-عقد-نكاح-ابنته-في-الحرم
- Imechapishwa: 25/03/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)