Kuingiza vidole vya kulia ndani ya vya kushoto wakati wa ndoa

Swali: Baadhi ya watu wanafanya ukali wakati mtu anapoingiza vidole vya kulia ndani ya vidole vya kushoto wakati wanapofungishwa ndoa?

Jibu: Halina msingi. Huku ni kujenga dhana mbaya.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23660/حكم-تشبيك-الاصابع-في-اثناء-عقد-النكاح
  • Imechapishwa: 25/03/2024