Kusafiri kwa ajili ya rambirambi au kumswalia maiti

Swali: Je, inafaa kusafiri kwa ajili ya kutoa mkono wa pole ni mamoja ni kwa ajili ya ndugu au asiyekuwa ndugu?

Jibu: Hapana vibaya. Hapana vibaya mtu akasafiri kwa ajili ya tanzia au kumswalia maiti. Hapana neno.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23661/هل-يجوز-السفر-من-اجل-التعزية
  • Imechapishwa: 25/03/2024