Swali: Vipi najisi ikimpata mswaliji na hawezi kuiondosha?
Jibu: Aiondoshe.
Swali: Vipi mtoto akimkojolea ilihali amesujudu?
Jibu: Swalah inabatilika. Katika hali hiyo atasimama na kuosha yale yaliyopatwa na najisi hiyo. Lakini hili ni pale mwanzoni mwa Uislamu. Baada ya hapo kulifuatia hukumu nyingine.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23662/حكم-النجاسة-اذا-وقعت-على-المصلي
- Imechapishwa: 25/03/2024
Swali: Vipi najisi ikimpata mswaliji na hawezi kuiondosha?
Jibu: Aiondoshe.
Swali: Vipi mtoto akimkojolea ilihali amesujudu?
Jibu: Swalah inabatilika. Katika hali hiyo atasimama na kuosha yale yaliyopatwa na najisi hiyo. Lakini hili ni pale mwanzoni mwa Uislamu. Baada ya hapo kulifuatia hukumu nyingine.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23662/حكم-النجاسة-اذا-وقعت-على-المصلي
Imechapishwa: 25/03/2024
https://firqatunnajia.com/mtoto-amemkojolea-mswaliji-ndani-ya-swalah/