Swali: Baadhi ya watu Hijaaz wanakusudia kuwafungisha ndoa watoto wao katika msikiti wa Haram.

Jibu: Sijui kama lina msingi.

Swali: Je, mtu anaweza kusema kwamba ni Bid´ah kukusudia jambo hilo?

Jibu: Ni jambo linahitaji kuangaliwa vyema.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23658/حكم-من-تعمد-عقد-نكاح-ابنته-في-الحرم
  • Imechapishwa: 25/03/2024