Swali: Ni sawa kumhukumu mtu kwa dhati yake kwamba ni Khaarijiy? Ni nani ana haki ya kumhukumu? Kuna vidhibiti gani katika hili?
Jibu: Ndio. Ambaye ana sifa za Khawaarij tunamhukumu kwa dhati yake kuwa ni Khaarijiy. Kwa kuwa amefanya kitendo cha Khawaarij na ameitakidi ´Aqiydah yao. Ni vipi atafanya matendo yao – kama kuua [wasiostahiki] – na kuthibitisha madhehebu yao kisha asihukumiwe kwa dhati yake? Anahukumiwa kwa dhati yake kwa hali yoyote ile.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Furqaan (06) http://alfawzan.af.org.sa/node/2049
- Imechapishwa: 12/12/2016
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)