Swali: Ni yapi makusudio ya “kwa ufahamu wa Salaf juu ya maandiko”?
Jibu: Ni jambo liko wazi. Salaf (Rahimahumu Allaah) waliyafahamu maandiko vile alivyotaka Allaah na Mtume Wake. Waliyafahamu vile yalivokuja katika Qur-aan; tafsiri ya Qur-aan Aayah hizi kuzifasiri zingine, yaliyothibiti katika Sunnah katika kuifasiri Qur-aan au yaliyothibiti katika tafsiri ya Maswahabah. Ufahamu wa Salaf umejengwa juu ya misingi hii. Huu ndio ufahamu wa Salaf. Umejengwa juu ya misingi hii. Ufahamu wao haukujengwa juu ya fikira, kama wanavyosema wafikiriaji. Umejenjwa juu ya misingi.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (61) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-03-11.MP3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Ni yapi makusudio ya “kwa ufahamu wa Salaf juu ya maandiko”?
Jibu: Ni jambo liko wazi. Salaf (Rahimahumu Allaah) waliyafahamu maandiko vile alivyotaka Allaah na Mtume Wake. Waliyafahamu vile yalivokuja katika Qur-aan; tafsiri ya Qur-aan Aayah hizi kuzifasiri zingine, yaliyothibiti katika Sunnah katika kuifasiri Qur-aan au yaliyothibiti katika tafsiri ya Maswahabah. Ufahamu wa Salaf umejengwa juu ya misingi hii. Huu ndio ufahamu wa Salaf. Umejengwa juu ya misingi hii. Ufahamu wao haukujengwa juu ya fikira, kama wanavyosema wafikiriaji. Umejenjwa juu ya misingi.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (61) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-03-11.MP3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/ndio-maana-salaf-wakawa-bora-kuliko-sisi/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)