Kumuozesha msichana mdogo ni kumdhulumu?

Swali: Je, una nasaha yoyote kwa wale wenye kupinga kumuoza msichana mdogo na wanasema kuwa kufanya hivo ni kumdhulumu?

Jibu: Kumdhulumu ni kumkatalia kuolewa. Huku ndio kumdhulumu. Ama mwenye kumwambia kuwa unataka kuolewa na mtu mwema, huu ndio uadilifu na kumrehemu. Dhuluma ni kule kumzuia mwanamke na haki yake ya Kishari´ah na kumpa haki ya kikanuni na ya ki-Twaaghuut. Hii ndio dhuluma ya kihakika.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (61) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-03-11.MP3
  • Imechapishwa: 21/08/2020