Swali: Ni kwa nini sifa ya kufanya kiburi (التَّكبر) ni kamili kwa Mola na wakati huohuo ni sifa pungufu kwa mja?

Jibu: Kwa sababu anayefanya kiburi ametakasika kutokana na mapungufu na kasoro. Kiburi cha mja inahusiana na kujikweza mbele za watu ambapo anawaona  wengine wako chini yake na kwamba ni wenye kutwezwa ukimlinganisha na yeye na kwamba yeye yuko juu yao.

Swali: Muumini anatakiwa kujishusha?

Jibu: Ndio, ni lazima.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22341/حقيقة-صفة-التكبر-في-حق-الرب-والعبد
  • Imechapishwa: 11/02/2023