Ni wadogo kiumri na ni wapumbavu wa akili kama hali ilivo leo. Unakuta mtu mwenye kudharauliwa sana mbele yao ni wanachuoni na wanawasifu kwamba hawajui mambo ya kisasa (Fiqh-ul-Waaqiy´), wanachuoni wa hedhi na nifasi, vibaraka, majasusi na mengineyo katika sifa mbaya. Khawaarij wa mwanzoni hawakufika katika daraja hii.
Sisi tunawashaurii watubu kwa Allaah na warejee katika safu ya waumini na wawaheshimu wanachuoni na wasiendeshwe na wapumbavu wa akili na wadogo wa umri.
- Mhusika: ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: adh-Dhariy´ah ilaa Bayaan Maqaasid Kitaab-ish-Sharï´ah (1/158)
- Imechapishwa: 19/05/2015
Ni wadogo kiumri na ni wapumbavu wa akili kama hali ilivo leo. Unakuta mtu mwenye kudharauliwa sana mbele yao ni wanachuoni na wanawasifu kwamba hawajui mambo ya kisasa (Fiqh-ul-Waaqiy´), wanachuoni wa hedhi na nifasi, vibaraka, majasusi na mengineyo katika sifa mbaya. Khawaarij wa mwanzoni hawakufika katika daraja hii.
Sisi tunawashaurii watubu kwa Allaah na warejee katika safu ya waumini na wawaheshimu wanachuoni na wasiendeshwe na wapumbavu wa akili na wadogo wa umri.
Mhusika: ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: adh-Dhariy´ah ilaa Bayaan Maqaasid Kitaab-ish-Sharï´ah (1/158)
Imechapishwa: 19/05/2015
https://firqatunnajia.com/ndio-maana-khawaarij-wanawadharau-wanachuoni/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)