Swali: Je, ni wanachuoni tu ndio wawezao kuwaraddi wapotevu au hata wanafunzi wana haki ya kubainisha na kuraddi na kunukuu maneno ya wanachuoni katika jambo hilo?

Jibu: Wanachuoni tu ndio wenye kuraddi. Wanachuoni ndio wenye kujua namna ya kuraddi. Watu wanaofikiri kuwa wanaweza na wanafunzi wasiraddi. Hawajastahiki hilo. Huenda wakatumbukia kwenye kosa kubwa kuliko yule wanayemraddi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (29) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%2025-12-1435.mp3
  • Imechapishwa: 16/06/2015