Swali: Vipi inakuwa ndoa ya Kishari´ah?
Jibu: Inakuwa kwa kutimiza masharti yake na nguzo zake. Ndoa ya Kishari´ah ina sharti zake na ina nguzo zake. Zikitimia sharti na nguzo zake hapo ndo inakuwa ya Kishari´ah. Ninamnasihi yule ambaye anataka kuoa ajifunze kwanza Ahkaam za ndoa ili asije kutumbukia katika jambo ambalo linaenda kinyume na Shari´ah ilihali naye hajui. Anasema Allaah:
فَاسْأَلُواْ أَهْلَ الذِّكْرِ إِن كُنتُمْ لاَ تَعْلَمُونَ
“Basi waulizeni wenye kujua kama nyinyi hamjui.” (16:43)
- Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.olamayemen.net/Default_ar.aspx?ID=558
- Imechapishwa: 22/09/2020
Swali: Vipi inakuwa ndoa ya Kishari´ah?
Jibu: Inakuwa kwa kutimiza masharti yake na nguzo zake. Ndoa ya Kishari´ah ina sharti zake na ina nguzo zake. Zikitimia sharti na nguzo zake hapo ndo inakuwa ya Kishari´ah. Ninamnasihi yule ambaye anataka kuoa ajifunze kwanza Ahkaam za ndoa ili asije kutumbukia katika jambo ambalo linaenda kinyume na Shari´ah ilihali naye hajui. Anasema Allaah:
فَاسْأَلُواْ أَهْلَ الذِّكْرِ إِن كُنتُمْ لاَ تَعْلَمُونَ
“Basi waulizeni wenye kujua kama nyinyi hamjui.” (16:43)
Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.olamayemen.net/Default_ar.aspx?ID=558
Imechapishwa: 22/09/2020
https://firqatunnajia.com/nasaha-ya-al-wasswaabiy-kwa-wenye-kutaka-kuoana/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket